Kuhusu

Kama ni mfasiri wa WordPress, ambae nimefanya kazi hiyo.Mara kwa sasa blogi yangu binafsi ni mzalendo.net, ambayo ni websaiti ya jamii ya kiswahili.Kama utahitaji kuwasiliana na mimi au wazalendo wengine ambao nao pia wamechangia kiasi fulani kutengeneza tafsiri hii.

Bila ya shaka kuna makosa modogo madogo ambayo nayagundua katika tafsiri hizi, na kurekebisha.Ningewaomba mutumie trunk version ndio ambayo itakuwa na marekebisho yote yaliyofanyika.

Asanteni.