Karibu

Karibu kwenye WordPress ya kiswahili.Hii ni blogi inayoshughulika na tafsiri ya programu ya WordPress kwa lugha ya kiswahili.Toleo la mwanzo limetolewa, na marekebisho machache yamefanyika, hadi sasa hatujapokea marekebisho na makosa kutoka wa watumiaji wa tafsiri hiyo.Furahia WordPress kwa lugha ya kiswahili!