WordPress.org

News

Kazi ya kutafsiri WordPress 3

Kazi ya kutafsiri WordPress 3


Tunatarajia kuanza kazi ya kutafsiri maneno ya WodPress 3.Wote watakao pendelea kushiriki wanakaribishwa.

Gr
mrfroasty

3 majibu kwa “Kazi ya kutafsiri WordPress 3”

  1. Tumetoa WordPress 3 leo….Walaaa!

  2. nimekwisha jiunga nanyi

  3. Mr. Frosty mbona kimya

Toa Jibu