Kama utapendelea kusaidia kufanya marekebisho ya tafsiri ya WordPress, tafadhali wasiliana nami.
Watu wa kutafsiri
9 majibu kwa “Watu wa kutafsiri”
-
NAPENDA KUTAFSI KAZIMBALI MBALI
-
Katika ukurasa huu au sura hii kuna makosa “tafadhali wailiano badala wasilana nami.”
-
@Jamal
Shukurani nimeshafix hiyo typo hapo. -
Assalamu alaykum.
Kwanini neno “fomati”, lisiwe “Muundo”
Ahsante -
@Hassan
Shukurani, nitarekebisha matoleo yafuatayo. -
naweza kupata wapi wordspress kwenye swahili?
-
Link ya download mbona ipo hapo pembeni upande wa kulia
-
Bw. mrfroasty na wenzake,
Lengo lako madhubuti ndugu. Umelenga moyo au ndoto yako bado waifuata? Ingawa nimechelewa kufika hapa, Inshallah, ningefurahia sana kuchangi tovuti hii.
Siku Njema
wiki-hii.com -
Ndoto ya kutumia computer kwa lugha ya kiswahili bado ipo pale pale inshallah.Hujachelewa kitu.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.