WordPress.org

Swahili

Ready to get started?Download WordPress

The Swahili translation of WordPress is inactive

Download the English version instead.

If you’re interested in translating WordPress to Swahili, join the Polyglots team and find out how.

Karibu

Localized version screenshot

Karibu kwenye WordPress ya kiswahili.Hii ni blogi inayoshughulika na tafsiri ya programu ya WordPress kwa lugha ya kiswahili.Toleo la mwanzo limetolewa, na marekebisho machache yamefanyika, hadi sasa hatujapokea marekebisho na makosa kutoka wa watumiaji wa tafsiri hiyo.Furahia WordPress kwa lugha ya kiswahili!

Maelezo ya Usadinishaji WordPress

Mambo yajayo:

Blogi

Kazi ya kutafsiri WordPress 3

Juni 13, 2010

Tunatarajia kuanza kazi ya kutafsiri maneno ya WodPress 3.Wote watakao pendelea kushiriki wanakaribishwa. Gr mrfroasty

Watu wa kutafsiri

Oktoba 20, 2009

Kama utapendelea kusaidia kufanya marekebisho ya tafsiri ya WordPress, tafadhali wasiliana nami.